Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mama Mzazi wa Carina, Fatma Maruzuku, Afariki Dunia Siku 40 Baada ya Kifo cha Mwanaye

  • 13
Scroll Down To Discover

Habari mbaya za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mama wa msanii Hawa Hussen almaarufu Carina, Fatma Maruzuku amefariki dunia.

Mama Carina amefariki yapata siku arobaini tangu alipofariki mwanaye Carina.

Habari za kifo cha mama wa Carina zimethibitisha na mmoja wa wanafamilia aliyeongea na Global TV dakika chache zilizopita.

Mama Carina alikuwa anasumbliwa na presha na kisukari na hakuweza hata kushiriki arobaini ya mwanaye wiki iliyopita.

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Global TV.



Prev Post Mbeto: Watanzania kataeni kugawanywa kwa Udini na Ukabila
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook