Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Profesa Janabi Ashinda Nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika

  • 35
Scroll Down To Discover

Profesa Mohammed Janabi ameibuka kidedea katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika.

Katika uchaguzi uliofanyika Geneva nchini Uswisi, Janabi alikuwa akichuana na wenzake wanne, Dk. N’da Konan Yao wa Ivory Coast, Dk Drame Lamine wa Guinea, Dk Boureima Sambo wa Niger na Prof. Mijiyawa Moustafa kutoka Togo.

Sasa ni rasmi Tanzania imetoa mkurugenzi mwingine katika nafasi hiyo, baada ya awali, Dk. Faustine Ndugulile aliyeshinda, kufariki dunia kabla hajaanza kutumikia rasmi nafasi hiyo.

 



Prev Post Kutana na Darstate; Wataalamu wa Ukusanyaji Madeni Tanzania
Next Post Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Mradi wa Maji Hungumalwa Wilayani Kwimba
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook