

Mzee Jutoram Kabatele ni Mtanzania aliyebuni alama za barabarani za kuwalinda watu wenye ulemavu.
Global TV imefika nyumbani kwake na kuzungumza naye ambapo ameeleza jinsi alivyobuni alama hizo na hatimaye serikali ikaanza kuzitumia rasmi.
Licha ya kazi kubwa na ya muhimu aliyoifanya, maisha anayoishi ni duni huku akiwa na maradhi. Anaeleza kuwa, hajawahi kulipwa chochote kutokana na ubunifu huo na anaomba serikali imsaidie.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!