Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wimbo Wa Jux Na Diamond ‘ololufe Mi’ Ndani Ya Top 3 Itunes Nigeria

  • 61
Scroll Down To Discover

Katika mafanikio ya hivi karibuni ya muziki wa Afrika Mashariki, wasanii wa Tanzania wameendelea kung’ara katika soko la Nigeria kupitia majukwaa ya muziki kama iTunes.

Wimbo wa “Ololufe Mi” Wa The African Boy! @juma_jux akimshirikisha @diamondplatnumz 🦁 umefanikiwa kuingia katika chati ya iTunes Nigeria, ukishika nafasi ya 3, Huku ‘God Design’ Aliyomshirikisha Muimbaji Wa Nigeria @phynofino Imepanda Kutoka Nafasi Ya 9 Hadi 2.

Mafanikio haya yanaonesha jinsi ushirikiano kati ya wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi unavyoweza kuleta matokeo Chanya na kupanua wigo wa muziki wa Kiafrika kimataifa. ✈️🌎🌎

The post Wimbo Wa Jux Na Diamond ‘ololufe Mi’ Ndani Ya Top 3 Itunes Nigeria appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Wimbo Wa Jux Na Diamond ‘ololufe Mi’ Ndani Ya Top 3 Itunes Nigeria
Next Post MERIDIANBET YAKUPA NAFASI YA KISHUA – SHINDA SIMU MPYA YA SAMSUNG A25!
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook