Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

TANZIA: Job Yustino Ndugai Afariki Dunia

  • 39
Scroll Down To Discover

TANZIA: Job Yustino Ndugai Afariki Dunia

TANZIA: Job Yustino Ndugai Afariki Dunia

TANZIA: Job Yustino Ndugai Afariki Dunia

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla.

Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa nafasi ambayo ameendelea kuitetea kwa kuchukua fomu tena mwaka huu ambapo ameshinda kwenye kura za maoni za Ubunge wa Jimbo la Kongwa kwa kupata kura 5690.



Prev Post Job Ndugai Afariki Dunia leo
Next Post NAFASI Za Kazi Songwe District Council
Related Posts
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook