Foreman alijulikana si tu kwa ustadi wake katika ulingo wa ngumi, bali pia kwa mafanikio yake makubwa katika biashara, hasa kupitia bidhaa maarufu kama George Foreman Grill, ambayo ilimpa utajiri mkubwa.
TEXAS, MAREKANI:
DUNIA imepoteza mmoja wa mabingwa wa ngumi waliokuwa na umaarufu mkubwa zaidi, George Foreman, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.

Foreman ambaye alifariki Machi 21, 2025, katika enzi za uhai wake alipigana mapambano 81, akishinda 76 na 68 kati hayo ilikuwa ni kwa knockout.

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!