
NAFASI Za Kazi SeaOwl Group Limited
NAFASI Za Kazi SeaOwl Group Limited
SeaOwl Group Limited ni kampuni ya kimataifa inayotoa huduma za kiufundi na usimamizi kwa sekta za baharini, ulinzi na nishati.
Makao yake makuu huko Levallois-Perret, Ufaransa, SeaOwl ina ofisi katika nchi zaidi ya 40, ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako inahudumia makampuni ya mafuta na gesi, pamoja na mashirika ya serikali yanayohusika na shughuli za baharini.
Kampuni hiyo inajulikana kwa kutoa huduma za ubora wa juu kama vile usimamizi wa meli, huduma za kitaalamu za wafanyakazi kwaajili ya ujenzi, uchimbaji visima, na matengenezo ya miradi ya miundombinu ya nishati.
Kampuni hiyo inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa tajwa kujaza nafasi Mbalimbali zilizotangazwa Katika Tangazo hili hapa chini.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!