Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kwenye Kongamano La Amani, Mwanza

  • 75
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 29, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kongamano la Afrika Mashariki la Amani lililoandaliwa na The Islamic Foundation pamoja na Safina Islamic Foundation, katika viwanja vya shule ya msingi Mirongo jijini Mwanza

Kongamano hilo ni jukwaa muhimu la kuwaleta pamoja viongozi wa dini, wataalamu, vijana, wanawake na wadau wa maendeleo kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika Mashariki ili kujadili masuala ya msingi yanayogusa jamii kwa ujumla.

Kongamano lina kaulimbiu isemayo Amani, Imani na Mshikamano.



Prev Post Meja Jenerali Gaguti Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya
Next Post Diamond Platnumz aja “Down” akiwa na Masterpiece YVK, Xman RSA na Lintonto
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook