Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumanne 10 June 2025

  • 109
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumanne 10 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 10 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 10 June 2025

Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania “Almas Kasongo” amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni kujiuzulu kwa Mwenyeketi wa bodi ya ligi, kujiuzulu kwa Afisa Mtendaji mkuu wa Tplb, Katibu mkuu wa Tff na kuona bodi ya ligi kuu inakuwa chombo huru.

Hivyo basi matakwa hayo yamepokewa na yatawasilishwa kwa shirikisho la soka nchini “Tff” ila kwa mamlaka ya bodi ya ligi mpaka sasa ni Mchezo upo pale pale juni 15.



Prev Post MKE WA MTU ANASIANA NA MCHEPUKO, MUMEWE ASHUHUDIA!
Next Post Benki ya Absa Tanzania Yathibitisha Uwazi na Dhamira ya Ukuaji Katika Mkutano na Gavana wa BoT
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook