
Sikiliza maneno mazito ya Askofu Jackson Sosthenes aliyeongoza ibada ya mazishi ya marehemu Charles Hilary katika Kanisa la Anglican, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Video kamili ipo Youtube, Global TV.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!