
Mwili wa Hayati Cleopa David Msuya, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza Mstaafu umewasili nyumbani kwake Upanga, Jijini Dar es Salaam.
Mpendwa wetu ataagwa kesho Jumapili tarehe 11 Mei, 2025 katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam na keshokutwa Jumatatu tarehe 12 Mei, 2025 utasafirishwa kwenda Mwanga Mkoani Kilimanjaro na maziko itakuwa ni tarehe 13 Mei, 2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!