Msanii Wa Muziki (Singeli) Nchini Kutoka Label Ya #WcbWasafi @itsdvoice đšđż ametangaza kuachia EP yake Mpya na ya kwanza Tangu Aanze Muziki, hatua inayokuja kama sehemu ya mwendelezo wa mafanikio makubwa aliyoyapata kupitia kazi zake za awali.
D Voice Amethibitisha Hilo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Kwa Kuandika; âCanât Wait For My First EPâ.
Ep Hii Itaifuata Album Yake Ya Kwanza âSwahili Kidâ Iliyofanya Vizuri Kwenye Majukwaa Mbalimbali Ya Kusikiliza Muziki N.k Huku Lengo Lake Kubwa Ni kuona Singeli ikisikika katika majukwaa ya kimataifa Kwa Kutumia lugha ya Kiswahili kama nyenzo ya kueneza utamaduni wa Kitanzania.
Hadi Sasa D Voice Ndio Msanii Wa Singeli Afrika Mashariki Mwenye Streams Nyingi Zaidi Kwenye Platforms Mbalimbali Za Kusikiliza Muziki (Youtube, Boomplay, Audiomack N.k).
JE, Unatamani EP Hii Mpya Ya D Voice Itoke Lini?/ Utamani Kumsikia Msanii Gani Katika EP Hii âď¸
The post D Voice Atarajia Kuachia Ep yake Mpya appeared first on Wasafi Media.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!