Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Bobby Shmurda Asitisha Tour Yake, Auza Tiketi 10 Tu Kila Mji.

  • 32
Scroll Down To Discover

Rapa Wa Marekani @itsbobbyshmurda afikia uamuzi wa kuahirisha Ziara (Tour) yake kufuatia mauzo hafifu ya tiketi. Hii Ni Mara Baada Ya Rapa Huyo Kuuza Tiketi 10 Tu Kila Mji (Kwa Mujibu Wa Promoter Wa Tour Yake Philip Stengel).

Hata Hivyo Shmurda Ameomba Radhi Kwa Mashabiki Baada Ya Ziara Yake Hiyo Kusitishwa Na Kuweka Wazi Kuwa Anajutia Kufanya Kazi Na Watu Hao Na Kuahidi Kulipeleka Suala Hili Mahakamani. Tour Yake ilikuwa inaitwa “Still Alive Tour”, Ambapo Ilipangwa kuanza tarehe 15 Mei na kumalizika tarehe 19 Juni Mwaka Huu, ikijumuisha miji mikubwa kama Washington D.C., Los Angeles, Houston, na Boston.

The post Bobby Shmurda Asitisha Tour Yake, Auza Tiketi 10 Tu Kila Mji. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Wasanii Wanaowania Tuzo Za BET 2025.
Next Post D Voice Atarajia Kuachia Ep yake Mpya
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook