
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Machi 6, 2025 imetoa uamuzi mdogo juu ya kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu
1. Kesi ya Lissu itaendesha kwenye Mahakama ya wazi (Open Court no. 1)
3. Tundu Lissu aletwe Mahakamani tarehe 19/5/2025
4. Watu wote wanaruhusiwa kuja ukumbi wa wazi wa Mahakama
5. Watu waingie Mahakamani kwa amani na kutunza amani nje na ndani ya Mahakama
6. Link itatumwa kwa wasio na uwezo wa kufika mahakamani.
Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Mei 19, 2025.
Mwanasheria wa Chadema na wakili anayemtetea Lissu, Dk. Rugemeleza Nshala amefafanua sababu za kuahirishwa kwa kesi hiyo.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!