

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema kazi inayofanywa na walimu ni kubwa na kwamba hakuna mshahara unaoweza kutosha kuwalipa hapa duniani.
Shigongo ameyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye wiki ya elimu iliyofanyika katika Kata ya Nyehunge, Jimbo la Buchosa ambayo imehusisha walimu wakuu, maafisa elimu na wakuu wa shule zote za sekondari Buchosa kwa lengo la kujadili namna ya kukuza elimu kwenye Halmashauri ya Buchosa.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!