Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Afanya Mazungumzo Na Naibu Waziri Mkuu Wa UAE Ikulu, Dar

  • 46
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akutana na kufanya mazungumzao na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, tarehe 05 Mei, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzao na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, tarehe 05 Mei, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Samia akiwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), MAbdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina ya Wizara ya Afya na Wizara ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuhusu uwezeshaji wa ujenzi wa Hospitali ya The Emirates – Tanzania Bukoba mkoani Kagera, tarehe 05 Mei, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE),  Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuhusu ushirikiano katika uwekezaji kwenye sekta ya madini, tarehe 05 Mei, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Samia akiwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) juu ya ushirikiano na kusaidiana katika masuala ya forodha, tarehe 05 Mei, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina ya Shirikisho la Vyama vya Biashara na Viwanda vya UAE na Barazala la Taifa la Biashara kuhusu uanzishwaji wa Baraza la Pamoja la Biashara kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu na Tanzania tarehe 05 Mei, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam.



Prev Post KUELEKEA MECHI YA FAINAL CAF….AHMED ALLY AIBUKA NA ‘MZUKA’ HUU KWA WAARABU…
Next Post Live: Rais Dkt. Samia Akishiriki Hafla Ya Utoaji Tuzo Za Samia Kalamu Awards
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook