
Je, wewe ni kijana mkazi wa Dar es Salaam?
Je, unamiliki laptop yako na unaweza kutumia kwa ufanisi programu za Graphic Designing na Video Editing?
Je, upo tayari kufanya kazi nyakati za mchana na usiku kadiri kazi itakavyohitaji?
Unaweza kuzalisha maudhui ya habari na kuyapost mitandaoni?
Kama jibu ni ndiyo, changamkia mchongo huu!
Tuma CV na barua fupi ya maombi kupitia WhatsApp: 0752 681 291.
Mwisho wa kupokea maombi ni Mei 14, 2025.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!