
Maandalizi ya mkutano wa uchaguzi wa Papa mpya unaotarajiwa kuanza Mei 07, 2025, Baraza la Makardinali limetangaza kuwa Makardinali wote 133 walio chini ya umri wa miaka 80 wana haki ya kupiga kura, licha ya kikomo cha awali cha 120 kilichowekwa na katiba ya kitume Universi Dominici Gregis.
Hii ni kwa sababu Papa Francisko aliwateua Makardinali zaidi ya 120 waliokuwa chini ya umri huo, hivyo kuwapa haki ya kushiriki katika uchaguzi huo.
Fahamu Papa mpya anavyochaguliwa na Makadinali Vatikani Roma
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!