Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Maisha Ya Ujasiri! Bahati Rashidi Afichua Sababu ya Kubeba Matunda na Mtoto Kwa Baiskeli -Video

  • 4
Scroll Down To Discover

Hivi karibuni, video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii imemuonyesha mwanamke mmoja akiendesha baiskeli huku amembeba mtoto mgongoni, na nyuma akiwa amebeba tenga la matunda kwa ajili ya kufanya biashara.

Global TV imemtafuta mama huyo, aliyejitambulisha kwa jina la Bahati Rashidi Onyango, mkazi wa Mtaa wa Mtambani, Vingunguti jijini Dar es Salaam, na kuzungumza naye kuhusu maisha yake na namna anavyopambana kujikimu.

Bahati amesema aliamua kuanza biashara ya matunda baada ya awali kufanya biashara ya asali, lakini alikumbana na changamoto ya kutolipwa fedha zake.

The post Maisha Ya Ujasiri! Bahati Rashidi Afichua Sababu ya Kubeba Matunda na Mtoto Kwa Baiskeli -Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post TRC Yatangaza Nafasi 24 za Ajira, Waombaji Wapewa Hadi Septemba 10
Next Post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 11, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook