Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Trump Aahidi Tsh Milioni 12.75 Kwa Kila Raia Mtu Mzima Marekani

  • 6
Scroll Down To Discover

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameahidi kutoa “dividend” ya dola 5,000 sawa na TSh 12,750,000 kwa kila raia mtu mzima wa Marekani endapo Chama cha Republican kitafanikiwa kudhibiti tena Baraza la Wawakilishi na Seneti katika uchaguzi wa Novemba.

Trump ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza katika Mkutano wa Republican uliofanyika Dallas, Texas, akisema malipo hayo yanatokana na kile alichodai kuwa ni mafanikio makubwa ya kiuchumi ya Marekani.

Hata hivyo, Trump amesema sharti pekee la fedha hizo ni kwamba zitumike ndani ya Marekani, huku akisema hazipaswi kutumika katika nchi nyingine.

Trump hakutoa maelezo zaidi kuhusu chanzo cha fedha hizo, namna zitakavyotolewa au muda wa utekelezaji wa mpango huo.

The post Trump Aahidi Tsh Milioni 12.75 Kwa Kila Raia Mtu Mzima Marekani appeared first on Global Publishers.



Prev Post Zelenskyy Aokoka Ajali! Ndege Yake Nusura Igongwe na Drone
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 11, 2026 
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook