Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kazi Mpya Dar es Salaam: Wahudumu wa Maduka Wanahitajika

  • 4
Scroll Down To Discover

Nafasi za kazi zimetangazwa kwa wanawake pekee kwa ajili ya kufanya kazi kama Wahudumu wa Maduka katika maeneo ya Mlimani City na Posta, Dar es Salaam.

Mshahara: TSh 450,000 kwa mwezi.

Sifa za mwombaji:

  • Awe mwanamke.
  • Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu.
  • Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja.
  • Uzoefu wa kazi ni faida.

Jinsi ya kuomba

Waombaji wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia WhatsApp: 0747065803.

Kumbuka: Nafasi hizi ni kwa wanawake pekee na nafasi ni chache. Waombaji wanashauriwa kutuma maombi mapema.

The post Kazi Mpya Dar es Salaam: Wahudumu wa Maduka Wanahitajika appeared first on Global Publishers.



Prev Post Miaka 11 Baada Ya Kustaafu, Ronaldinho Arejea Kwenye Soka
Next Post Usipuuze! Haya Ndiyo Maajabu ya Komamanga Mwilini Wako, Wengi Hawajui!
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook