Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

The Heaven Quality Band – Haya Njooni (Official Music Video)

  • 11
Scroll Down To Discover

Kama unapenda nyimbo za Injili zenye ujumbe, sauti nzuri na zinazokufanya umsifu Mungu kwa moyo wote, basi huu ni wimbo wa kuweka kwenye playlist yako.

Kupitia wimbo huu, The Heaven Quality Band wameleta ujumbe wenye nguvu wa imani, upendo na mwaliko wa kumkaribia Mungu. “Haya Njooni” ni wimbo unaogusa moyo na kutukumbusha umuhimu wa kusimama pamoja katika imani na kumtukuza Mungu.

Video hii imebeba hisia, ujumbe na mazingira yanayoendana na uzito wa wimbo, huku ikitoa nafasi kwa kila mtazamaji kutafakari na kufurahia ujumbe wake.

Usisikilize peke yako mwambie na mwingine HAYA NJOONI!

The post The Heaven Quality Band – Haya Njooni (Official Music Video) appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rais Samia Azindua Mradi wa Maji Kuelekea Kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Next Post Mamilioni Wajitokeza Kushuhudia Maajabu ya Kupatwa kwa Jua – Picha
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook