Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Maandamano Kenya kupinga kituo cha Ebola, katika Dira ya Dunia TV

  • 6
Scroll Down To Discover

Mamia ya wakazi wa mji wa Nanyuki, kaunti ya Laikipia nchini kenya, wamefanya maandamano ya kupinga kujengwa kwa kituo cha karantini cha wagonjwa wa Ebola au watu wanaoshukiwa kuugua Ebola kitakachosimamiwa na Marekani. Waandamanaji walifika kwenye lango kuu la kambi ya jeshi ya wanaanga ambapo kituo hicho kinaripotiwa kujengwa. Serikali za Marekani na Kenya zimethibitisha kukubaliana kuweka kituo hicho, japo mpango huo umepingwa vikali na makundi mbali mbali, huku Mahakama kuu ikisimamisha ujenzi huo kwa muda. #Kenya #Ebola #DRC #BBCNewsSwahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 01/06/2026
Next Post Global TV Online Yatangaza Nafasi ya Kazi ya Content Moderator
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook