Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Mwigulu Akutana na Mohamed Janabi Brazzaville

  • 7
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO AFRO), Profesa Mohamed Janabi ambapo walijadili masuala mbalimbali ya maendeleo, hususan ushirikiano katika sekta ya afya barani Afrika.

Pia, Dkt. Mwigulu alikutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Stephen Mbundi pamoja na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Afrika (FP-ICGLR), Balozi Dkt. Deo Mwapinga.

Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), unaoendelea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo leo Jumatano Mei 27, 2026.

The post Waziri Mkuu Mwigulu Akutana na Mohamed Janabi Brazzaville appeared first on Global Publishers.



Prev Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 25/05/2026
Next Post Fainali ya Conference: Crystal Palace vs Rayo Vallecano, Nani Ataandika Historia Leo?
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook