Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mlipuko mpya wa virusi vya Ebola waua watu 65 DRC. Katika Dira ya Dunia TV

  • 13
Scroll Down To Discover

Shirika la kudhibiti maambukizi barani Afrika, Afrika CDC limetangaza mlipuko wa ugonjwa Ebola katika mkoa wa Ituri Mashariki mwa DRC. Watu 65 wanaaminiwa kufariki kutokana na ugonjwa huo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 17, 2026
Next Post Kikwete Amwakilisha Rais Samia Mazishi ya Kitaifa ya Rais Mstaafu Mogae Botswana
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook