Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

TPLB Yamteua Yahaya Abushehe Kuwa Kaimu Ofisa Habari Mpya

  • 11
Scroll Down To Discover

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kumteua Yahaya Abushehe kuwa Kaimu Ofisa Habari wa TPLB akichukua nafasi ya Karim Boimanda ambaye atapangiwa majukumu mengine.

Kwa mujibu wa taarifa ya leo Mei 14, 2026 iliyotolewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPLB, Cornel Barnabas uteuzi huo unaolenga kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha Habari na Mawasiliano cha TPLB unaanza mara moja.

 

The post TPLB Yamteua Yahaya Abushehe Kuwa Kaimu Ofisa Habari Mpya appeared first on Global Publishers.



Prev Post AFCON 2027: Sasa Ni Kasi Tu! RC Chalamila Atoa Maelekezo Mazito Kinondoni – Video
Next Post Video: Simanzi Yatanda Baada ya Mwili wa Mollel Kukutwa Muriet, Arusha
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook