Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Fahamu Ushahidi Uliomtia Hatiani ‘Mr Blue’ Na Kuhukumiwa Kunyongwa Kwa Kumuua Ezenia

  • 20
Scroll Down To Discover

Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imemhukumu kunyongwa hadi kufa Abdalah Mussa maarufu Mr. Bluu, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa makusudi Ezenia Kamana kwa kumkatakata vipande na kuvigawa katika mifuko nane ya salfeti na kuvitupa eneo la Ununio na Tegeta, Dar es Salaam.

Hukumu hiyo ilisomwa na Jaji Awamu Mbagwa wa Mahakama hiyo, baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na mashahidi 25 wa upande wa mashtaka, vielelezo 15, pamoja na utetezi wa mshtakiwa na sheria.

Huu ni uchambuzi wa kina wa ushahidi uliotumika kumtia hatiani Mr. Bluu ikiwemo jinsi alivyomchoma kisu marehemu wakiwa ndani ya gari.

The post Video: Fahamu Ushahidi Uliomtia Hatiani ‘Mr Blue’ Na Kuhukumiwa Kunyongwa Kwa Kumuua Ezenia appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rais Samia Ashiriki Kikao cha CCM Shina Namba 1 Chamwino – Video
Next Post Lulu Diva na D Voice Waweka Wazi Penzi Lao Hadharani, Watangaza Mpango wa Ndoa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook