
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Shina namba 1 CCM Chamwino, ameshiriki kikao cha kawaida cha shina hilo kilichoitishwa na Balozi wa Shina, Bi. Paulina Mkasanga.
Kikao hicho kimefanyika katika eneo la Chamwino mkoani Dodoma tarehe 8 Mei, 2026.






The post Rais Samia Ashiriki Kikao cha CCM Shina Namba 1 Chamwino – Video appeared first on Global Publishers.










Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!