Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI YA TUME YA MABORESHO YA MFUMO WA KODI

  • 31
Scroll Down To Discover

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.

Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe. Balozi Ombeni Sefue akizungumza kabla ya kukabidhi Ripoti ya Tume hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026. Viongozi mbalimbali na Mabalozi waliohudhuria hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.



Prev Post UBORA UNAOONEKANA: BENKI YA MNB YANG’ARA TUZO ZA EURO MONEY 2026
Next Post KIPA YANGA AFUNGUKA, WAGENI SIO TISHIO NI FURSA
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook