Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Museveni Apokea Uongozi wa EAC Kutoka Kwa Ruto Arusha – Picha

  • 18
Scroll Down To Discover

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akipokea vitendea kazi kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo aliyemaliza muda wake, Rais wa Kenya William Somoei Ruto katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha, tarehe 07 Machi, 2026.

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amepokea rasmi vitendea kazi kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya aliyemaliza muda wake, Rais wa Kenya William Samoei Ruto.

Tukio hili limefanyika katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC, uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Jijini Arusha, tarehe 07 Machi, 2026.

Hii ni hatua muhimu katika kuendelea kwa ushirikiano wa kikanda wa Afrika Mashariki, huku Mwenyekiti mpya akitarajiwa kuongoza Jumuiya katika kipindi cha uongozi wake, akisisitiza maendeleo ya kiuchumi, usalama, na mshikamano wa kibiashara kati ya nchi wanachama.

RAIS SAMIA – RUTO WANAHUTUBIA MKUTANO WA WAKUU NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

The post Museveni Apokea Uongozi wa EAC Kutoka Kwa Ruto Arusha – Picha appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rais Samia Ashiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi za EAC Arusha (Picha +Video)
Next Post Waziri Mkuu Mwigulu Ahudhuria Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an, Dodoma
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook