
Akihutubia Taifa, Rais Samia Suluhu amesema Kamwe falsafa ya 4R haiwezi kuwa kisingizio cha kuvunja Sheria au cha kujenga mazingira yanayohatarisha amani, utulivu na usalama wa Nchi
Amesema “Demokrasia yetu imeendelea kukua na kuimarika hususani kupitia falsafa yetu ya 4R, ambayo itaendelea kuwa nyenzo muhimu ya kukuza Ushiriki na Ushirikishwaji wa Wananchi kwenye masuala muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu”
Ameongeza “Hata hivyo nataka kusisitiza kwamba, kutekelezwa kwa falsafa ya 4R kunaendana sambamba na kuzingatiwa kwa Katiba na Sheria za Nchi”
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!