Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Chalamila Asaini Kitabu Cha Maombolezo Kufuatia Kifo Cha Cardinali Pengo

  • 13
Scroll Down To Discover

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Feb 23,2026 akiwa ameambatana na kamati ya usalama Mkoa, amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo la Dar es Salaam Mwadhama Cardinali Polycarp Pengo Kurasini Jijini humo.
Aidha Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati ya usalama alieleza masikitiko yake makubwa na kutoa rambirambi, kwa familia, Kanisa Katoliki na Taifa kwa ujumla ambapo amesema anamuomba mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahala pema peponi Amina.
Ifahamike kuwa maziko ya Mwadhama Cardinali Polycarp Pengo yanatarajiwa kufanyika Feb 28, 2026 Pugu Jijini Dar es Salaam kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

The post Chalamila Asaini Kitabu Cha Maombolezo Kufuatia Kifo Cha Cardinali Pengo appeared first on Global Publishers.



Prev Post Iran Yatoa Onyo Kali kwa Marekani Kuhusu Mashambulizi na Mazungumzo ya Nyuklia
Next Post Ruwa’ichi Atangaza Ratiba ya Mazishi ya Kardinali Pengo, Waumini Waombwa Kujitokeza – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook