Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Kishandu Anusurika Kuuawa Arusha, Pikipiki Yachomwa Moto

  • 21
Scroll Down To Discover


Ni mtiti! Mtu mmoja ambaye bado hajafahamika jina, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali huku pikipiki yake ikichomwa moto, akidaiwa kuwa ‘kishandu’ baada ya kujaribu kupora simu akiwa kwenye pikipiki.

Polisi wenye silaha wamefika katika eneo la Soko Mjinga jijini Arusha na kutuliza hali iliyokuwa tayari imechafuka.

The post Video: Kishandu Anusurika Kuuawa Arusha, Pikipiki Yachomwa Moto appeared first on Global Publishers.



Prev Post Video: Trafiki Akipigana Na Dereva, Polisi Watoa Ufafanuzi
Next Post Tazama Ujasiri wa Binti wa Kilimanjaro Girls Mbele ya Waziri Mkuu – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook