Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kesi Ya Mgawanyo Wa Mali Chadema, Mbivu Mbichi Ya Lissu Leo

  • 19
Scroll Down To Discover

Kesi ya mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed na wenzake wawili inatarajiwa kuendelea asubuhi hii Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam mbele ya Jaji Hamidu Mwanga.

Leo yanatarajiwa kusikilizwa mapingamizi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na upande wa walalamikaji wakikataa kuunganishwa kwa Lissu kwenye kesi hiyo kama mdaiwa

Ikumbukwe wadaiwa katika kesi hiyo ni Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika na Bodi ya Wakurugenzi CHADEMA, hivyo kama mapingamizi ya walalamikaji yakikubaliwa Lissu hatojumuishwa katika kesi hii na endapo yatatupiliwa mbali Lissu atakuwa mshtakiwa.

Pamoja na mambo mengine Lissu katika kesi hii hana Wakili hivyo anajitetea mwenyewe.

The post Kesi Ya Mgawanyo Wa Mali Chadema, Mbivu Mbichi Ya Lissu Leo appeared first on Global Publishers.



Prev Post Serikali Ya Urusi Yakiri Kuwepo Raia Wao Anayetrendi Kenya Kwa Video Chafu
Next Post Aziz Ki Amzawadia Hamisa Gari ya G-Wagon ya Milioni 300
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook