Mamia ya picha zinazoonyesha nyuso za watu waliouawa wakati wa maandamano ya Iran ambayo Polisi walitumia nguvu kupitiliza dhidi ya waandamanaji, zimevuja na kupewa kitengo cha kuthibiti taarifa cha BBC Verify.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw






Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!