Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025

  • 74
Scroll Down To Discover

Mwaka 2025 umeendelea kuonesha kwa nini Afrika Kusini ni moja ya nguzo kubwa za muziki barani Afrika. Kuanzia vilabu vya usiku, redioni hadi kwenye mitandao ya kijamii kama TikTok, muziki wa SA umejaa ubunifu, midundo mipya na collabo zinazovuka mipaka.

Licha ya aina nyingi za muziki kuwepo, Amapiano bado inaongoza lakini imekuja kwa sura mpya inachanganywa na afro-soul, hip-hop na hata pop, jambo linalofanya ngoma nyingi kuwa za kisasa na kuvutia mashabiki wa rika tofauti.

1⃣ Isaka (6am)CIZA, Jazzworx & Thuthukile – mojawapo ya nyimbo bora za mwaka na curve ya stream kubwa.
2⃣ Abantwana BakhoDJ Maphorisa, Thatohatsi, Young Stunna & Nkosazana Daughter – hit kali ya Amapiano.
3⃣ BengicelaMaWhoo, GL_Ceejay & Thuthukile ft. Jazzworx  
4⃣ Uzizwa Kanjani / Uziwa KanjanJazzworx, MaWhoo, Thuthukile & GL_Ceejay 
5⃣ NgishutheniGoon Flavour, Master KG & Eemoh.
6⃣ MaliDlala Thukzin, Zee Nxumalo & Sykes 
7⃣ Soos ’n EngelLen Muller.
8⃣ Uyena (Live)Sjava – afro-soul & hip-hop fusion inayopendwa sana.
9⃣ MagumbaKhadeair ft. Kaytah & Peekay Mzee .
🔟 My DarlingChella.

The post Ngoma za Moto! Amapiano na Vibe Zilizopendwa na Mashabiki 2025 appeared first on Global Publishers.



Prev Post Ulimwengu waukaribisha mwaka mpya 2026, katika Dira ya Dunia TV
Next Post Ukraine Yakanusha Shambulio la Droni Dhidi ya Makazi ya Putin, Urusi Yazidi Kudai
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook