Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Niliuanza Mwaka Nikiwa Naandamwa na Madeni Kibao na Mkwamo wa Kiuchumi

  • 43
Scroll Down To Discover

Mwaka mpya ulipofika, nilikuwa sina chochote cha kusherehekea. Hakukuwa na akiba, hakuna mpango wa wazi, na madeni machache yalikuwa yananikumbusha hali yangu kila siku.

Wakati wengine wakizungumza kuhusu malengo na safari mpya, mimi nilikuwa nikihesabu jinsi nitakavyolipa kodi na chakula. Nilihisi kama mwaka ulikuwa umeanza kunipita hata kabla haujaingia wiki ya pili.

Nilijaribu kufanya kazi kwa bidii zaidi, lakini juhudi zangu zilionekana kutopata matokeo. Pesa ilipita mikononi mwangu bila kukaa, na kila wazo jipya la kipato lilikuwa linafeli mapema.

Nilipoanza mwezi wa kwanza wa mwaka nikiwa katika msongo wa mawazo, nilitambua kuwa…

SOMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA

The post Niliuanza Mwaka Nikiwa Naandamwa na Madeni Kibao na Mkwamo wa Kiuchumi appeared first on Global Publishers.



Prev Post Tanzania yatangaza nafasi 500 za ajira kwa waendesha pikipiki nchini UAE
Next Post Clemence Mwandambo Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Tuhuma za Kijinai – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook