Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Safari ya Mwisho ya Asia Mustapha: Aliyepambana na Maradhi ya Figo kwa Miaka 20 (Picha +Video)

  • 128
Scroll Down To Discover

Asia Mustapha, ambaye kwa muda wa takribani miaka 20 alikabiliana na changamoto za maradhi ya figo, ameaga dunia na kuhitimisha safari yake ya maisha kwa utulivu na heshima.

Mwili wa marehemu uliswaliwa katika Msikiti wa Maamur, Upanga, ukihudhuriwa na ndugu, jamaa na waumini waliokusanyika kumuombea dua. Baadaye, maziko yalifanyika katika Makaburi ya Kisutu, huku waliohudhuria wakimkumbuka kwa upendo, uvumilivu na imani yake iliyodumu hata nyakati za majaribu.

Tunamuombea Mwenyezi Mungu amsamehe madhambi yake, amlaze mahali pema Peponi, na awape faraja walioguswa na msiba huu.

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Group, Abdallah Mrisho (kushoto mwenye miwani) akiwa katika maziko ya Asia katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam Disemba 24, 2025.
Mwili wa Asia ukiswaliwa katika Msikiti wa Maamur, Upanga.

The post Safari ya Mwisho ya Asia Mustapha: Aliyepambana na Maradhi ya Figo kwa Miaka 20 (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.



Prev Post Global Publishers Tunawatakia Watanzania Krismasi Njema
Next Post PM Mwigulu Aagiza Watendaji TEMESA Wafutwe Kazi, Wakabiliwe na Sheria – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook