Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky ameliambia bunge la Uholanzi kwamba Urusi inahitaji kuwajibishwa kwa kuishambulia Ukraine. Viongozi wa Umoja wa Ulaya wataamua baadaye wiki hii ikiwa mali ya Urusi iliyozuiliwa inaweza kutumika katika kufidia Ukraine.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw











Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!