Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kukamatwa Kwa Dkt. Michael: Polisi Geita Wafichua Kinachoendelea

  • 27
Scroll Down To Discover

Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Daktari Kibaba Furaha Michael wa Hospitali ya Rufaa ya Geita ametekwa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limetoa taarifa kwa umma likieleza kuwa linamshikilia daktari huyo.

Taarifa ya Polisi inaeleza kuwa Dkt. Kibaba anaendelea kuhojiwa na jeshi hilo baada ya kumkamata kutokana na ushahidi uliokuwa umekusanywa kuhusiana na tuhuma mbalimbali za kijinai zinazomkabili.



Prev Post Kihongosi: Chama Kitaimarisha Usimamizi wa Utekelezaji wa Ilani – Video
Next Post BOT YAONGEZA NGUVU KUSIMAMIA UTULIVU WA UCHUMI NA USALAMA WA MIFUMO YA MALIPO
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook