Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo Na Mawaziri Wa Ofisi Yake Dodoma

  • 11
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira  na Mahusiano, Deus Sangu, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Riadh Kisuo.

Kikao hicho kimefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 19, 2025.

 



Prev Post Baadhi ya kesi za waathiriwa wa machafuko ya uchaguzi zaairishwa TZ. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 20, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook