Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Picha: Rais Mwinyi Apongezwa Na Zenji One Ikulu

  • 6
Scroll Down To Discover

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Zenji One leo Ofisini kwake Ikulu Zanzibar tarehe 23 Aprili 2025.

Zenji One amempongeza Rais Dkt.Mwinyi kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kila sekta, pia kwa kuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar 2025-2030 na kuahidi kuendelea kutangaza kazi nzuri anayoendelea kufanya na kushiriki katika hamasa za kampeni katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu Oktoba



Prev Post Papa Francisko Aagwa kwa Heshima, Mazishi Kufanyika Jumamosi Aprili 26, 2025 – Live Video
Next Post Rais Dkt Samia Azindua Toleo La Sheria Zilizofanyiwa Urekebu La Mwaka 2023 – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook