
Uongozi na wafanyakazi wa Global Group wanawatakia waumini wote wa dini ya Kikristo Ijumaa Kuu Njema.
“Kama vile mimi nilivyowapenda ninyi, nanyi mnapaswa kupendana vivyo hivyo. Kwa hili watu wote watajua kwamba ninyi ni wafuasi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.” Yohana 13: 34-35.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!