
Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na Rais wa Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani katika Ikulu ya Niamey April 16, 2025.
Katika mazungumzo hayo, Kikwete ambaye ni mwanadiplomasia nguli aliwasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Jenerali Tchiani.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!