
Mchambuzi wa masuala ya siasa kutoka Global TV Online, Richard Manyota, amesema hali ya sintofahamu inayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaonyesha wazi kuwa kuna watu wanaolenga kukivuruga chama hicho kwa maslahi yao binafsi.
Kupitia tafakuri yake, Manyota amesema kelele na malalamiko yanayozidi kushika kasi mitandaoni na kwenye majukwaa mbalimbali kuhusu mchakato wa uongozi mpya wa chama hicho hayalengi kujenga, bali kuharibu taswira ya chama mbele ya jamii.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!