Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa UDART

  • 3
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Waziri Kindamba kama Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Badala yake, nafasi hiyo imechukuliwa na Pius Andrew Ng’ingo.



Prev Post TANESCO Yatoa Tahadhari Kwa Wateja Kuhusu Changamoto ya Malipo ya Umeme
Next Post Dkt. Nchimbi Awasili Mtwara Kuendelea Kusaka Kura za Kishindo za Dkt. Samia
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook