Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Watuhumiwa wa Mauaji ya Shyrose Mabula Wauawa na Polisi Mbeya

  • 2
Scroll Down To Discover

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limetoa taarifa kuwa watuhumiwa watatu waliokuwa wakituhumiwa kumteka kisha kumuua Shyrose Mabula, mwanafunzi wa Shahada ya Sheria Chuo Kikuu cha Mzumbe, Tawi la Mbeya, Shyrose Mahande (21), wameuawa wakati wakijaribu kupambana na polisi wakati wa ukamataji wao.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, amewataja waliouawa kuwa ni Marwa Nyahega, Edward Kayuni na Websta Mwantebele.



Prev Post WASTAAFU KUPATA HUDUMA MAALUM ZA KIBENKI NA BIMA
Next Post Netanyahu na Trump wakutana New York kuzungumzia suluhu ya Gaza
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook