Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

HUU HAPA MSIMAMO WA SIMBA KUHUSU KIMATAIFA .MSIMU HUU……YANGA MHHHH…

  • 9
Scroll Down To Discover

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wamechoka kugotea hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kimataifa hivyo watapambana kuvuka hatua hiyo.

Kwa sasa kikosi cha Simba kipo nchini Misri kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa kimataifa hatua ya robo fainali dhidi ya Al Masry mchezo unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2 2025 na robo fainali ya pili inatarajiwa kuchezwa Aprili 9 2025 Uwanja wa Mkapa.

Ni Machi 28 msafara wa Simba ulikwea pipa kuibukia Misri huku kipa Aishi Manula akiwa hayupo kwenye msafara uliopo huko kutokana na kutokuwa fiti ni Ally Salim, Hussen Abel na Moussa Camara hawa watakuwa na jukumu kwenye eneo la mlinda mlango.

Ally amesema kuwa kwenye mashindano ya kimataifa wamekuwa na mwendelezo mkubwa kuishia hatua yar obo fainali jambo ambalo linawaumiza kwa kuwa hawavuki mbele hivyo watapambana kuvunja rekodi hiyo.

“Tumekuwa na mwendelezo wa kuishia katika hatua ya robo fainali mara nyingi, hii hatuifurahii kwa kuwa mwisho wa kujifunza sasa inatosha, mara ya kwanza ya pili yatatu mpaka tano bado ni robo fainali sasa tunahitaji kuvuka hatua hii hadi nusu fainali.”

The post HUU HAPA MSIMAMO WA SIMBA KUHUSU KIMATAIFA .MSIMU HUU……YANGA MHHHH… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post NI KASINO GANI MERIDIANBET KUCHEZA NA KUSHINDA RAHISI…..
Next Post BAADA YA KUPANDISHWA CHEO JESHINI….HILI HAPA ‘DENI’ LA BACCA NDANI YA YANGA…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook