Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Nafasi Za Kazi 57 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Aprili 3, 2025

  • 7
Scroll Down To Discover

Chuo cha Maji (WI), Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Taasisi ya Ardhi Morogoro (ARIMO), kwa kushirikiana na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), wanakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki na ari ya kufanya kazi kujaza nafasi hamsini na saba (57) za kazi zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini.

Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 03 Aprili, 2025.

BONYEZA HAPA  KUSOMA ZAIDI>>>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA



Prev Post Nafasi Za Kazi 57 Taasisi Mbalimbali Za Umma, Mwisho wa maombi Aprili 3, 2025
Next Post Dereva Aliyesababisha Ajali Iliyomuua OCD Awadh Akamatwa ”Alikimbilia Mbeya Kujificha”- Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook