
upitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia Taarifa inayo-Trend Congo na Nigeria kwa sasa kuhusu kauli ya msanii Asake.
Kupitia Taarifa zilizovujishwa na Blog ya RAP WORLD BLOG kupitia Instagram yao zikisema kuwa:-
Asake amemlalamilia msanii wa Congo Fally Ipupa kuwa alikataa collabo mpaka amlipe dola Elfu 50, (Zaidi ya milioni 100 za Kitanzania) Adake anaendelea kwa kusema kuwa Alishangazwa sana na Fally Ipupa kuomba Dola elfu 50 wakati alitegemea wafanye bure maana collabo hiyo ingemrudisha Fally kwenye Game.
Ukipita kwenye mitandao ya TIKTOK, THREADS NA FACEBOOK ndio habari kubwa ambapo Wanigeria na Wacongo wanabishana huko.
@el_mando_tz ameeleza namna wasanii wa Nigeria wanavyowachukulia poa wasanii kutoka mataifa mengine bila kujali heshima zao.
Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman @samirkakaa
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!